Yeye alilingana na kila kitu.Hebu niseme jambo hili kwa kicho cha kiungu na heshima, lakini upendo, lakini unyofu wa kujua ninakosimama. Unazichukua nguo zako zilizokuwa chafu zikiwa safi.125 Naye Yesu alilingana na kila unabii kila kiolezo cha Yehova wa Agano la Kale ni Yesu wa lile Jipya. Ndipo basi uliporudi kuchukua nguo zako, yeye alisema, “Hebu nikione kipande chako cha karatasi.” Naye akavichukua kama vililingana, basi. Sasa, alikupa kipande kimoja cha karatasi, akaweka hicho kipande kingine cha karatasi. Kwa hiyo, ulipokuja, yeye alichukua tu kipande hiki kidogo cheupe cha karatasi, kitu kama hiki, tuseme, papa hapa, naye akakirarua hivi kwa njia fulani. Yeye hangaliweza kusoma kitu, naye alijua hungaliweza kukisoma kama angalikiandika. Alijichukulia tu kipande kidogo kisafi na cheupe cha kufungia. Na kwa hiyo wao wange-…ungeshuka uende kwenye dobi ya Wachina. 124 Kama wakati Wachina walipokuja huku mara ya kwanza, wao hawangeweza kusoma wala kuandika lugha yetu, bali walikuwa dobi hodari.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |